歌词
歌曲名 Niko Mchumba Ngombe
歌手名 Phil Ochs
作词:Phil Ochs/Dijiba-Bukasa
作曲:Phil Ochs/Dijiba-Bukasa
Niko mchunga ngombe
Niko mchunga ngombe
Sasa sasa
Twende mbele
Sasa sasa
Twende mbele
Chakula haina taabu
Chakula haina taabu
Tunana mbuzi tunakula
Tunana mbuzi tunakula
Niko mchunga ngombe
Sasa sasa
Twende mbele
Sasa sasa
Twende mbele
Nguo haina taabu
Tunauza ngombe sokomi
Taabu tunavumilia
Niko mchunga ngombe
Sasa sasa
Twende mbele
Sasa sasa
Twende mbele
Maisha hapita
Maisha hapita
Sisi tutazeeka
Sisi tutazeeka
Natoto wangu watalinda ngombe
Natoto wangu watalinda ngombe
Niko mchunga ngombe
Sasa sasa
Twende mbele
Sasa sasa
Twende mbele
Havunjika kivulini
Havunjika kivulini
Na pombe karibu yangu
Na pombe karibu yangu
Niko mchunga ngombe
Sasa sasa
Twende mbele
Sasa sasa
Twende mbele
Niko mchunga ngombe
Niko mchunga ngombe
Niko mchunga ngombe
Niko mchunga ngombe
Niko mchunga ngombe
Niko mchunga ngombe
Niko mchunga ngombe
展开