Malaika

作词:Mantra Mindware

作曲:Mantra Mindware

所属专辑:Keep On Moving - The Best Of

歌词

歌曲名 Malaika

歌手名 Angélique Kidjo

作曲:Traditional Tanzanian Chant

Malaika nakupenda Malaika

Malaika nakupenda Malaika

Ningokoa marioa

Ningokoa jaja

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Pesa zasumbua roho yangu

Pesa zasumbua roho yangu

Nami nifanyeje kijana mwenzio

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Eva

Kidege hukuwaza kidege

Kidege hukuwaza kidege

Nami nifanyeje kijana mwenzio

Nashindwa na mali sina we

Jongali

Ningekuoa Malaika

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Pesa zasumbua roho yangu

Pesa zasumbua roho yangu

Nami nifanyeje kijana mwenzio

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Ningekuoa Malaika

Ningekuoa Malaika

展开