Malaika (Live)

作词:Fahili Williams Mdawida

作曲:Fahili Williams Mdawida

所属专辑:iTunes Live From SoHo

歌词

@migu music@

Malaika (传统歌曲:天使) - Angelique Kidjo

Written by:Traditional

Malaika nakupenda Malaika

Malaika nakupenda Malaika

Ningokoa marioa

Ningokoa jaja

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Pesa zasumbua roho yangu

Pesa zasumbua roho yangu

Nami nifanyeje kijana mwenzio

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Eva

Kidege hukuwaza kidege

Kidege hukuwaza kidege

Nami nifanyeje kijana mwenzio

Nashindwa na mali sina we

Jongali

Ningekuoa Malaika

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Pesa zasumbua roho yangu

Pesa zasumbua roho yangu

Nami nifanyeje kijana mwenzio

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Nashindwa na mali sina we

Ningekuoa Malaika

Ningekuoa Malaika

Ningekuoa Malaika

展开