Baba Lao

作词:Nasibu Abdul Juma Issaack

作曲:Nasibu Abdul Juma Issaack

所属专辑:Baba Lao

歌词

@migu music@

Baba Lao - Diamond Platnumz

Lyrics by:Nasibu Abdul Juma Issaack

Composed by:Nasibu Abdul Juma Issaack

S2kizzy baby kizzy baby

I don't like

Dangote baba lao baba lao

Simba baba lao baba lao

Chibu baba lao baba lao

Mondi baba lao baba lao

Eeeh zombie baba lao baba lao

Magufuli baba lao baba lao

Makonda baba lao baba lao

Wasafi chama lao

Ngoma kwa ngoma ni kopo koko

Leo ndani twakesha popo

Waiter tasambazia moko moko

Moja baridi moja moto

Mmechoka eti aaah wapi

Mnataka lala aaah wapi

Tungi limezidi aaah wapi

Tuzime muzikiaaah wapi

Asa twende kisamugile sambamba hapo vipi inabamba

Inogile inatamba basi chanika musamba

Eeeh wataweza kweli aaah wapi

Kushindana nasi aaah wapi

Hata wakiungana aaah wapi

Matusi kututukana aaah wapi

Dangote baba lao baba lao

Simba baba lao baba lao

Chibu baba lao baba lao

Mondi baba lao baba lao

Eeeh zombie baba lao baba lao

Magufuli baba lao baba lao

Mwakyembe baba lao baba lao

Wasafi chama lao

Hajib selema adija selema selema

Mondi nyangema shimo ametema ametema

Amefosi bifu mseleleko eeeh tumemkwepa

Amebaki masononeko eeeh wanamcheka

Kwanza kunja goti lee kunja goti

Kisha vua shati eeeh vua shati

Cheza kama monkey aiii

Vunja ukidanki danki

Eeeh tumewachapa kidude

Hakichomoki kidude

Kimewanasa kidude

Wanatapatapa kidude

Chizi karogwa tena chizi chizi karogwa tena eeeh

Chizi karogwa tena chizi chizi karogwa tena eeeh

Chizi karogwa tena chizi chizi karogwa tena eeeh

Chizi karogwa tena chizi chizi karogwa tena eeeh

Dangote baba lao baba lao

Simba baba lao baba lao

Chibu baba lao baba lao

Mondi baba lao baba lao

Eeeh zombie baba lao baba lao

Magufuli baba lao baba lao

Majaliwa baba lao baba lao

Wasafi chama lao

Mzuka ukipanda na hili shati navua acha uongo

Mzuka ukipanda na hili bukta navua acha uongo

Jamani navua acha uongo

Mama navua acha uongo

Mwenzenu navua acha uongo

Eeeeh kuna basata

Basi napiga yope huwezi

Ooooh napiga yope huwezi

Iyobo napiga yope huwezi

Mi napiga yope huwezi

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Tale napiga yope huwezi

Mi napiga yope huwezi

Momo napiga yope huwezi

Fungwe napiga yope huwezi

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

Eeeeh

展开