歌词
Unaniweza - Jux
Aba
Pindi ukicheka we mi moyo unanitabasamu
Huwa mwenye kujihisi mororo
Ila ukilia wee hata kula nakosa hamu
Huwa mwenye kujihisi mdororo
Ukiwa karibu na mie najiona bora
Lakini ukiwa mbali baby baridi linachoma
Uwepo wako we na mie umetia fora
We ndio dakitari darling nikitaka kupona
Yeha yeah
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Sitamani mwingine wala sidhani ka ataweza kutokea
Maana mambo yako moto moto moto
Labda upite ushetani mwingine
Maneno ya watu nishazoea I don't care
Kila kukicha choko choko choko
Coko
Unavyonipa raha ndiyo nanepa mie
Penzi lako natinga navimba nabembea
Yea
Kinachokufaaa usisite niambie
Kwako niko radhi hata zege nibebe machinga nidadishee
Ukiwa karibu na mie najiona bora
Lakini ukiwa mbali baby baridi linachoma
Uwepo wako we na mie umetia fora
We ndio dakitari darling nikitaka kupona
Yeah yeah yeah
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Yea yeah
Yea yeah
Unaniweza weza
Yea yeah
Yea yeah
Unaniweza weza
Yea yeah
Yea yeah
Unaniweza weza
Yea yeah
Unaniweza weza
I do it for love
For love
Unaniweza weza I do it for love
For love
I do it for love
Yeahh
Unaniweeeza
Abbah
Abbah
Abbah
Abbah
Abbah
Abbah
Abbah
展开