歌词
@migu music@
Nawaza - Diamond Platnumz
Lyrics by:Diamond Platnumz
Composed by:Diamond Platnumz
Nawaa naaawaaa naawaaa nawaza tu
Nawaa naaawaaa naawaaa nawaza tu
Nawaza pru mpaka maka ruge amerudi tena
Je kwa huu mziki wa sasa sijui nini angesema
Na nimejifunza binadamu kweli hawana jema
Yani mtoto unaemtunza ndo anakuombea ukilema
Nashangaa
Nawaza vanny na elizabeth clip zao zikivuja
Ndoa itaimarika eti au ndo ataifoja
Nawaza muchanausiku jibu halifiki
Wanaonitukana tuna bifu au ilimradi kiki
Nawaza kina kimambi bwana wangekua wagawa ridhiki
Hivi kweli ningejulikana si wangenizima nsisike
Nlowaza leo nshawaza sana kina kiba ugomvi kipi
Nikagundua ni ushamba na ujana wa kugombania mashabiki
Nawaa naaawaaa naawaaa nawaza tu
Nawaa naaawaaa naawaaa nawaza tu
Oooh nawaza
Huenda steven kanumba angelikuwepo hai
Nawaza movie zetu pia tungejidai
Nawaazaa hivi kombe la dunia hatufikagi why
Nawazatatizo ni team au uongozi haufai
Mawazo mengine mtanange bora tuache
Yataleta ukakasi
Je angekuepo muzee nyangeuncle
Shamte angepata nafasi
Nawaza ka ngekua na
Wema sepetu hadi leo sijui ngekua
Nshafulia au zaidi maendeleo
Ooh nawaza siku nikifa sijui wasafi itakufa
Nawaza sijui maradhi ama ajali itanikuta
Nawaza oh mama dangote nani chozi atamfuta
Nawaza sijui nyimbo zangu watazikumbuka
Eeeh
Nlowaza leo nshawaza sana nnachoshindwa kuwa kipi
Nikagundua naepusha lawama maana najijua kwa kucheat
Nawaa nawaa naaawaaa naaawaaa
Naawaaa nawaza nawaza nawaza tu
Nawaa nawaa naaawaaa naaawaaa
Naawaaa letga to nawaza tu
展开