Unachezaje

作词:Diamond Platnumz

作曲:暂无

所属专辑:Unachezaje

歌词

@migu music@

Unachezaje - Diamond Platnumz

Lyrics by:Diamond Platnumz

Aka afogani nati nati

Mkunoni kai mati

Nasikia kuna kiki wapi

Niije kujimwaga kati

Oooh haitoshi kalitaka

Simba la baba kaletewa

Oooh my gosh sasa

Kazima anataka kubebewa

Oooh haitoshi kalitaka

Simba la baba kaletewa

Oooh my gosh sasa

Kazima anataka kubebewa

Nionyeshe unachezaje unachezaje unachezaje

Kwani unachezaje unachezaje

Unachezaje

Nionyeshe unachezaje unachezaje unachezaje

Unachezaje

Kwani unachezaje unachezaje

Unachezaje

Unachezaje

Ilikuwa mbili 4 4 pale pale pale pale

Dawa ya show show

Nahisi lale nahisi lale

Peleka vuta taratibu sio kwa pupa

Dereva shusha hapo mbele

Kwenye kuta

Huu ni mti gani wa Mchongoma

Ukiukata haukatiki

Si ni mti gani wa Mchongoma

Wakitukata hatukatiki

Sasa waonyeshe unachezaje unachezaje unachezaje

Kwani unachezaje unachezaje

Unachezaje

Nionyeshe unachezaje unachezaje unachezaje

Unachezaje

Kwani unachezaje unachezaje

Unacheza

Unachezaje

Acha

Popolipolipopopopopolipolipola

Popolipolipopopopopolipolipola

Popolipolipopopopopolipolipola

Popolipolipopopopopolipolipola

Waambie chombo kinapepea

Eeh chombo kinapepea

Huwaga chombo kinapepea

Cille chombo kinapepea

Aah weeh

Acha

Aah weeh

Ahha

Huo mnazi unakatika

Mnazi unakatika

Mama mnazi unakatika

Ona mnazi unakatika

Ukitaka kukatika hukatika

Kati kati kati kah

Huo mjumba unabomoka

Mjumba unabomoka

Mama mjumba unabomoka

Ona mjumba unabomoka

Ukitaka kubomoka hubomoka

Bobo bobo bobo bobo bobo boh

Kamix lizer

展开