Naanzaje

作词:Diamond Platnumz

作曲:Diamond Platnumz

所属专辑:Naanzaje

歌词

@migu music@

Naanzaje - Diamond Platnumz

Lyrics by:Diamond Platnumz

Composed by:Diamond Platnumz

Ayolizer

Aliumba ardhi akaumba mbingu

Akaumba mbaramwezi

Kaumba nafsi kaumba wivu

Akayaumba na mapenzi

Na kukuacha sidhani siwezi jaribu

Maana penzi kwa mzani umenizidi mahabibu

Shika vyema usukani twende taratibu

Baada ya tuta baby koleza gear

Yaani tam tam kama pipi

Nakuita sweet ah lote lote

Fundi kwenye kwichikwichi

Shape vipi Kama lote

Vicheche nisha delete

Sitaki cheat wa toke toke

Kwenye moyo nimekupa seat

We ndo dereva so kukuacha oh

Naanzaje ooh mimi

Naanzaje aah mimi hapa

Naanzaje nwenzako kukuacha siwezi

Naanzaje ooh mimi

Naanzaje aah mi jamani

Naanzaje oh

Kukuacha oh kabisa siwezi

Hadithi kuja hadithi njoo utamu kolea

Mwezenu huba liko kwa roho limeninogea

Vishenshuda poleni woo mnalo wambeya

Mtaja kuumwa makwashakoo kwa kutuongelea

Tena me kwake ndo daktari nampa tiba halali

Wanaitaga sukari alamba haa

Na jana nilifunga nikasali nikamuomba Jalali

Tuepushe madhohari ya wanadamu

Ah ah we mtam tam kama pipi

Nakuita sweet ah lote lote

Fundi kwenye kwichikwichi

Shape vipi Kama lote

Vicheche nisha delete

Sitaki cheat wa toke toke

Kwenye moyo nimekupa seat

We ndo dereva so kukuacha woo woo

Naanzaje ooh mimi

Naanzaje ah mimi hapa

Naanzaje mwenzako kukuacha siwezi

Naanzaje ooh mimi

Naanzaje aah mi jamani

Naanzaje

Kukuacha oh kabisa siwezi

Na kukuacha sidhani

Siwezi jaribu

Maana penzi kwa mzani

Umenizidi mahabibu

Wasafi

展开