Mac Muga

作词:Frank Thayer

作曲:Frank Thayer

所属专辑:Cinderella

歌词

@migu music@

ZAIDI YANGU - Alikiba

Mcheza bongo Mac Muga

Yuko single sana Mac Muga

Ukimwona mtu akijinamia kwa sababu ya

Maisha yamchanganya Chali wangu alizamia

Kuenda kusini mwa Africa

Huku pia akimchanua kwa sababu ya maisha

Aliyofuma Alikuwa maarufu sana Akajiona

Yeye ndo winner Kwa kujichanganya na wasichana

Club zote za huko kujulikana

Yeye Mac muga wewe mac muga ah

Hii dunia Mac Muga huruma

Mungusha asumani alipofika South Africa

Alikuwa na maisha bora Ya juu

Ya thamani tena yanayohitajika magari yote

Kwa nyumba Mbona sasa amesharejea

Mungusha asumani alipofika South Africa

Alikuwa na maisha bora Ya juu

Ya thamani tena yanayohitajika magari makubwa

Nyumba Mbona sasa amesharejea

Hajui wapi ataanzia Hakuna kazi mtu akajinamia

Mac Muga hii ni dunia

Mungu alikuzawadia maisha Sasa ushachezea

Haya haya Wangu Mac Muga

Wa mpani huna Wasee wa maskani

Mungu akupe nini Mac Muga

Mungu akupe nini Mac Muga

Wewe Mac Muga Basi upewe nini Mac Muga

Mungu alikuzawadia Sasa ushachezea

Mungu alikuzawadia Sasa ushachezea

Wewe Mac Muga Basi upewe nini Mac Muga

Upeni ni mag muga

Mungusha asumani alipofika South Africa

Alikuwa na maisha bora Ya juu

Ya thamani tena yanayohitajika magari yote

Kwa nyumba Mbona sasa amesharejea

Mungusha asumani alipofika South Africa

Alikuwa na maisha bora Ya juu

Ya thamani tena yanayohitajika magari yote

Kwa nyumba Mbona sasa amesharejea

Hajui wapi ataanzia

Hakuna kazi mtu akajinamia

Mac Muga hii ni dunia

Wewe Mac Muga Mungu akupe nini Mac Muga

Oi uma oi uma umana mia

Mungu alikuzawadia Sasa ushachezea

Cha kufanya Kila anachachofanya anaona anakosea

Yikes

Kama huoni kwa Mac Muga Woi noma huruma kanyongo'nyea

Afanye nini sasa

Cha kufanya Kila anachachofanya anaona anakosea

Akiwa jambazi akili zake zitaishia

Akiwa mwizi anaona atauliwa

Akifikiria kujiua Nafsi yamzusha basi analia

Wewe Mac Muga Mungu akupe nini Mac Muga

Wewe Mac Muga Basi upewe nini Mac Muga

Mungu alikuzawadia Sasa ushachezea

Wewe Mac Muga Basi upewe nini Mac Muga

Mungu alikuzawadia maisha Sasa ushachezea

Haya haya Wangu Mac Muga

Msela hao Wa mpani huna Wasee wa maskani

Wanakukimbia Mac Muga noma Hee

Mac Muga Skonde upige moyo konde

Mac Muga

Life is back

Life is back

展开