Nichuum

作词:Frank Thayer

作曲:Frank Thayer

所属专辑:Cinderella

歌词

@migu music@

jamaniii mi nataka usaule kama mapenzi ghorofa yamedaka yako mi na mapenzi tele kama kwetu kule wanaonitaka mi wengi ila mi kwako nyang'anyang'a

Nini unataka me na miujiza nini unataka, kama macho ya bluelight sema nini unataka

nikugeuze princess sema nini unataka unavyobilinge bayoyo hivyo mi ndo natakataka sana taka

nini unataka mi namiujiza nini unataka nikugeuze princess sema nini unataka (siamini yani simini yamenipanda kichwani mahaba yako yasirisiri yamenikoleza mwilini)②

mapenzi alinipa mama nami leo nakupatia tena sitaki lawama riziki yakohakuna nitakupenda sana mpaka wivu utakimbia nanitalia nawewe mi kwako nyang'anyang'a

Nini unataka me na miujiza nini unataka, kama ni macho ya bluelight sema nini unataka

nikugeuze princess sema nini unataka unavyobilinge bayoyo hivyo mi ndo natakataka sana taka

nini unataka mi namiujiza nini unataka nikugeuze princess sema nini unataka siamini yani (siamini yamenipanda kichwani mahaba yako ntasiritini yamenikoleza mwilini)②

AYA

chekecha chekechua

展开