歌词
歌曲名 Malaika
歌手名 Boney M
作词:Trad (Kisuaheli)
作曲:Trad +Bearb Frank Farian+G Reyam+Bearb F Farian
Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika
Na mimi nifanyeje ee
Kijana mwenzio oo
Nashindwa na mali sina ee
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina ee
Ningekuo malaika
Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika
Na mimi nifanye je ee
Kijana mwenzio oo
Nashindwa na mali sina wee
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina wee
Ningekuoa malaika
Kidege nakuwaza kidege
Kidege nakuwaza kidege
Ningekuoa aa mama
Ningekuoa dada
Nashindwa mali sina wee
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina wee
Ningekuoa malaika
Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika
Nami nifanyeje ee
Kijana mwenzio oo
Nashindwa na mali sina wee
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina wee
Ningekuoa malaika
展开